Mfano Wa Kuigwa
Miaka mia moja iliyopita, 'Abdu'l-Bahá, kijana wa Bahá’u’lláh na mfano halisi wa mafundisho Yake, alipaa kutoka dunia hii.
Mfano hufuata maisha ya 'Abdu'l-Bahá na mguso mkubwa aliokuwa nao kwa watu kote wakati uliopita na kipindi hiki. Hisia ya wajibu wa kipekee wa 'Abdu'l-Bahá kama kimbilio, ngao, ngome kwa binadamu wote huonekana katika masimulizi ya baadhi ya roho ambazo maisha yao yalibadilishwa kupelekea uboreshwaji wa jamii kutokana na kushirikiana kwao Naye. Filamu inaakisi baadhi ya kanuni za ujumla ambazo, zote katika maneno na vitendo, huoneshwa na 'Abdu'l-Bahá--kanuni ambazo huhuisha mjongeo wa kiulimwengu wa watu binafsi, jumuiya na asasi zinazojitahidi kufuata mfano Wake katika huduma kwa wanadamu.
Before downloading please refer to the Terms of use